Wednesday, July 1, 2015

MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA- SABASABA


Wapendwa wateja wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania ikiwa ni msimu wa sabasaba kwa mwaka huu 2015, Tupo katika maonyesho haya ndani ya banda la Wizara ya Fedha. Tafadhali tembelea katika banda letu ili uweze kupata huduma na msaada wa huduma za bima kutoka kwa maafisa Bima waliopo katika banda letu.


No comments: