Wednesday, July 15, 2015

BARAZA LA WAFANYAKAZI 2015 - MOROGORO


Baraza la wafanyakazi NIC (T) kikao cha pili kilichofanyika Morogoro chini ya mwenyekiti wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga na kuhusisha wajumbe ambao ni wakurugenzi wote wa NIC (T), chief managers NIC (T), head of departments NIC (T), branch managers  NIC (T), mwenyekiti TUICO, halmashauri ya TUICO Makao makuu, wajumbe wakuchaguliwa katika matawi yote ya NIC (T) na wajumbe wa TUICO mkoa na Taifa ambao shirika lipo - Ilala.
Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi Bw. Sam Kamanga akipozi katika picha ya pamoja na wajumbe.


Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Bi. Anne Mbughuni akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi (hawapo pichani)


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji na mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akiongea na wajumbe waliohudhuria (hawapo pichani)

Matukio mbalimbali yaliyojiri katika picha wakati wa vikao vya baraza la wafanyakazi uliofanyika Mkijini Morogoro.

PICHA ZA CHINI NI YA WAJUMBE WAKIFUATILIA KIKAO




















Isihaka Kibamba Manager Individual Life (kulia) na Henry Mwalwisi Manager Pensions and Medicare wakifuatilia kwa umakini kikao.

Meneja wa tawi la Dodoma Bw. Lugano Stanton (kulia) na meneja tawi la City wakifuatilia kwa makini kikao cha baraza la wafanyakazi.



Meneja tawi la Ubungo Segeja Mabula akifuatilia kwa makini kikao.

Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi pamoja na wajumbe wa baraza la wafanayakazi wakiimba kwa pamoja wimbo wa wafanyakazi.

No comments: