Shirika la Bima la Taifa limeshiriki katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa, Karibu katika banda la Wizara ya Fedha ambapo utakutana na maafisa bima wakiwa tayari kabisa kukuhudumia kwa huduma zote za kibima, zikiwemo bima za maisha, bima ya moto, Bima ya elimu, Bima ya Afya na huduma nyingi za bima. Karibu katika banda letu tukuhudumie.
No comments:
Post a Comment