Monday, July 27, 2015

MATUKIO KATIKA PICHA ZAIDI MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU KATIKA VIWANJA VYA MWL J.K. NYERERE


Bi Joyce Mswia akisalimiana makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal siku ya ufunguzi wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu.

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi na baadhi ya wakurugenzi wa taasisi tofauti.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akipozi na maafisa bima waliokuwa katika maonyesho pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Bw. Elisante Maleko (wa kwanza kushoto)

Afisa masoko Mwandamizi Bi. Joyce Mswia na Afisa Bima Bw. Emmanuel Ngao

Afisa masoko Mwandamizi akipokea cheti cha ushiriki kwa niaba ya shirika la Bima la Taifa Tanzania


Bi Joyce Mswia akionyesha cheti 

Cheti cha ushiriki kwa Shirika la Bima la Taifa Tanzania


Maafisa bima wakitoa elimu kwa wateja tofauti waliokuwa wametembelea banda la NIC katika maonyesho hayo
Bi Joyce Mswia akimweleza jambo makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal siku ya ufunguzi wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu.




Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal

Maafisa bima wakitoa elimu ya bima kwa wateja waliotembelea banda la NIC (T)


No comments: