Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga
Picha ya pamoja Team NIC na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mazungumzo ya hapa na pale
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akisubiri saini
ya mteja wetu namba moja bada ya kumkabidhi cheki
ya Bima yake iliyoiva
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akitoa maelezo kwa Mh. Rais
juu ya fursa za Bima katika sekta ya Gesi na Mafuta
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akitoa shukrani kwa serikali ya awamu ya nne
kwa kuonyesha nia ya kuipatia uwezo NIC
Mkurugenzi wa Bima za maisha Bi. Rose L. Lawa akisisitizia jambo kwa Mh. Rais
Mh. Rais katika picha ya pamoja na wageni wake
Mheshimiwa alipendezewa na ugeni toka NIC
akausindikiza nje ya mjengo na kuagana na wageni wake.
Kaimu Mkurugenzi wa Bima zisizo za maisha Bw. Lazaro Bangilana akiagana na mheshimiwa rais
No comments:
Post a Comment