Haya ni maonyesho ya kumi (10) tangu yalipoanzishwa, ambayo yanajumuisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Shirika la Bima ya Taifa nalo halikua nyuma na kuajiunga na vyuo vikuu kama miongoni mwa taasisi
Maafisa Bima Emmanuel Ngao na Albert Rabiel wakiwa katika banda la maonyesho ya elimu
Afisa Bima Albert Rabiel akiongea na mteja aliyetembelea banda la NIC (T)
Meneja Masoko Mwandamizi Bi. Joyce Mswia akimfafanulia jambo mteja
Maafisa Bima Albert Rabiel (kushoto), Emanuel Ngao na afisa masoko mwandamizi Joyce Mswia katika picha ya pamoja
Afisa Bima Emmanuel Ngao akimwelekeza jambo mteja alotembelea banda la NIC (T)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akisalimiana na makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alipofungua maonyesho ya 10 ya elimu
Afisa masoko Mwandamizi akimkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal katika banda la NIC (T)
Afisa Mahusiano Sauda Mtani katika Picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga na Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa Wateja BW. Elisante Maleko..
kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Bw. Elisante Maleko akifanya mazungumzo na mtangazaji Pascal Mayalla.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja na maafisa Bima.
No comments:
Post a Comment