Siku hii ilikuwa maalum kwa ajili ya kufuturu na watoto yatima ambayo wafanyakazi wa NIC (T) walijiandaa kama njia mojawapo ya kushiriki na jamii hii ambayo inahitaji msaada wa hali na mali na kuamua kuitumia kujenga mahusiano mazuri na jamii hii. Chini ni baadhi ya picha za matukio yaliyojiri siku hiyo.
watoto tayari kwa futari
waumin wakijiandaa wakati wa swalat maghribi
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akiwa eneo la tukio na mkewe pamoja na watoto wao
Muda wa kuandalia futari wageni
Ni muda maalum wa kupata futari kwa watoto
Haruna Kashushu akichukua futari tayari kwa kuwapatia wageni
Bi. Nyaoga Lupeja akichukua futari
Mkuu wa kitengo cha mahusiano Mwanaidi Shemweta akichukua futari
Ni muda maalum wa kupata futari
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akizungumza na wageni
Imam wa Msikiti wa Ngazija akizungumza jambo
Watoto wakifuatilia jambo
Watoto wakifuatilia jambo lililokuwa linaendelea
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akipozi na masheikh waliohudhuria futari pamoja na baadhi ya maafisa bima.
Baadhi ya wanakamati ya maandalizi wakiwa katiak picha
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akipozi na watoto yatima waliohudhuria futari
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akipozi na watoto yatima waliohudhuria futari
Hii ilikua ni zawadi kwa ajili ya watoto
Wawakilishi wakipozi na Kaimu Mkururgenzi Mtendaji
No comments:
Post a Comment