Tuesday, July 14, 2015

MATUKIO KATIKA PICHA MAONYESHO YA SABASABA 2015


Pichani ni matukio zaidi katika picha ya yaliyojiri katika banda la Shirika la Bima la Taifa (NIC) ndani ya viwanja vya maonyesho ya sabasaba. 


Mtangazaji wa Radio One Othman akimhoji Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Sam Kamanga

Mwenyekiti wa Bodi NIC Dkt Edmund Mndolwa akisaini kitabu cha wageni 


Kiamu Mkurugenzi Mtendaji Sam Kamanga akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi NIC Dkt. Edmund Mndolwa

Mkuu wa Kitendo cha Uhusiano Mwanaidi Shemweta akipozi katika picha pamoja Mwenyekiti wa Bodi Dkt. edmund  Mndolwa na kqaimu Mkurugenzi Mtendaji Sam kamanga.





Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Sam Kamanga akisaini kitabu cha wageni ndani ya banda la sabasaba, wanaoshuhudia ni maafisa bima



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akiwa katika picha ya pamoja na maafisa bima waliokuwapo katika maonyesho ya sabasaba.


Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano-NIC akihojiwa na Mtangazaji Pascal Mayalla.

Pascal mayalla akimhoji afisa Bima Chambika

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akifurahia jambo pamoja na maafisa bima na mtangazaji Pascal Mayalla.



Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Mwanaidi Shemweta akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Sam Kamanga.



Wateja wakihudumiwa na maafisa bima John Mghase (juu) na Chambika (chini)





No comments: