Monday, July 27, 2015

MATUKIO KATIKA PICHA ZAIDI MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU KATIKA VIWANJA VYA MWL J.K. NYERERE


Bi Joyce Mswia akisalimiana makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal siku ya ufunguzi wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu.

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi na baadhi ya wakurugenzi wa taasisi tofauti.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akipozi na maafisa bima waliokuwa katika maonyesho pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Bw. Elisante Maleko (wa kwanza kushoto)

Afisa masoko Mwandamizi Bi. Joyce Mswia na Afisa Bima Bw. Emmanuel Ngao

Afisa masoko Mwandamizi akipokea cheti cha ushiriki kwa niaba ya shirika la Bima la Taifa Tanzania


Bi Joyce Mswia akionyesha cheti 

Cheti cha ushiriki kwa Shirika la Bima la Taifa Tanzania


Maafisa bima wakitoa elimu kwa wateja tofauti waliokuwa wametembelea banda la NIC katika maonyesho hayo
Bi Joyce Mswia akimweleza jambo makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal siku ya ufunguzi wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu.




Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal

Maafisa bima wakitoa elimu ya bima kwa wateja waliotembelea banda la NIC (T)


Friday, July 24, 2015

MAFUNZO YA ELIMU YA GAS NA MAFUTA

Washiriki wafunzo ya elimu ya gas na mafuta wakisikiliza kwa umakini 


Mkufunzi wa elimu ya gas na mafuta Simon Cartwright akielekeza jambo kwa washiriki



Kaimu Mkurugenzi wa Bima zisizo za Maisha na mshiriki wa mafunzo hayo akifuatilia jambo wakati wa mafunzo


Eng. Eliawony TOWO (kushoto) akifuatilia maelezo ya mkufunzi wakati wa mafunzo

Simon Cartwright akizungumza na washiriki wa mafunzo hayo





Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akiwa na mkufunzi wa mafunzo ya gas na mafuta Simon Cartwright. 



Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mafunzo ya elimu ya gas na mafuta kwa washiriki wa mafunzo hayo pamoja Kaimu Mkurugenzi mtendaji 

10TH TCU EXHIBITIONS ON HIGHER EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY 2015

Haya ni maonyesho ya kumi (10) tangu yalipoanzishwa, ambayo yanajumuisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Shirika la Bima ya Taifa nalo halikua nyuma na kuajiunga na vyuo vikuu kama miongoni mwa taasisi 
Maafisa Bima Emmanuel Ngao na Albert Rabiel wakiwa katika banda la maonyesho ya elimu 


Afisa Bima Albert Rabiel akiongea na mteja aliyetembelea banda la NIC (T)

Meneja Masoko Mwandamizi Bi. Joyce Mswia akimfafanulia jambo mteja

Maafisa Bima Albert Rabiel (kushoto), Emanuel Ngao  na afisa masoko  mwandamizi Joyce Mswia katika picha ya pamoja 

Afisa Bima Emmanuel Ngao akimwelekeza jambo mteja alotembelea banda la NIC (T)

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akisalimiana na makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alipofungua maonyesho ya 10 ya elimu 




Afisa masoko Mwandamizi akimkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal katika banda la NIC (T) 


Afisa Mahusiano Sauda Mtani katika Picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga na Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa Wateja BW. Elisante Maleko..

kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Bw. Elisante Maleko akifanya mazungumzo na mtangazaji Pascal Mayalla.






Kaimu Mkurugenzi Mtendaji katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa masoko na Huduma kwa wateja na maafisa Bima.

Tuesday, July 21, 2015

NIC YATINGA IKULU KUKABIDHI HUNDI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mheshimiwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga


Picha ya pamoja Team NIC na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



Mazungumzo ya hapa na pale


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji  Bw. Sam Kamanga akisubiri saini 
ya mteja wetu namba moja bada ya kumkabidhi cheki 
ya Bima yake iliyoiva



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akitoa maelezo kwa Mh. Rais
 juu ya fursa za Bima katika sekta ya Gesi na Mafuta 



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji akitoa shukrani kwa serikali ya awamu ya nne 
kwa kuonyesha nia ya kuipatia uwezo NIC 


Mkurugenzi wa Bima za maisha Bi. Rose L. Lawa akisisitizia jambo kwa Mh. Rais 



Mh. Rais katika picha ya pamoja na wageni wake



Mheshimiwa alipendezewa na ugeni toka NIC 
akausindikiza nje ya mjengo na kuagana na wageni wake.



Kaimu Mkurugenzi wa Bima zisizo za maisha Bw. Lazaro Bangilana akiagana na mheshimiwa rais