kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga akisalimiana na Mhasibu Msaidizi wa Ubungo Plaza Ltd Bw. Nyembo Kigombey kabla ya kuanza mkutano, katikati ni Afisa Mtendaji wa Ubungo Plaza Ltd, Bw. Harun Mgude.
Afisa Mtendaji wa Ubungo Plaza Ltd Bw. Harun Mgude akiwa katika picha ya pamoja na Mhasibu wa Ubungo Plaza Ltd Bw. Lihami Masoli.
Afisa Mtendaji wa Ubungo Plaza Limited Bw. Harun Mgude sambamba na mjumbe wa mkutano Bw. Pauline Gunje, wakiangalia mission na vision za NIC walipotembelea makao makuu makuu ya NIC kwa ajili ya mkutano..
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga akiwa na wajumbe wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NIC makao makuu.
No comments:
Post a Comment