Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Bi. Anne Mbughuni akiwaongoza kurugenzi ya Fedha na Utawala walipotembelea Nyumba ya makumbusho wilaya ya Bagamoyo.
Mkurugenzi wa Fedha Bi. Anne Mbughuni akiwa katika picha ya pamoja na kurugenzi ya fedha, walipotembelea majumba ya makumbusho wilayani Bagamoyo. |
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Bi Anne Mbughuni pamoja na Meneja Rasilimali Watu Bw. Godbless Uronu wakipumzka baada ya mzunguko wa kutembelea makumbusho.
Baadhi ya wajumbe wa Kurugenzi ya Fedha NIC wakiangalia vitu vya asili.
Wakipozi katika picha ya pamoja kando ya bahari
No comments:
Post a Comment