Picha ya pamoja ya Bodi mpya ya wakurugenzi ikiwa chini ya uenyekiti wa Dr. Edmund Mndolwa (wa pili kutoka kulia) wa kwanza mkono wa kulia ni mkurugenzi mtendaji Bw. Justine Mwandu..
Thursday, October 3, 2013
Friday, September 27, 2013
Saturday, September 7, 2013
Wednesday, March 27, 2013
HABARI KATIKA PICHA KUTOKA TAWI LA BUKOBA
Ufunguzi wa ofisi ya wakala posta katika wilaya za
Muleba na Misenyi katika vitongoji vya
Kamachumu na Kyaka
Meneja wa Tawi la Bukoba Bw. Ismail Bitegeko akiwa na Ofisa wa Bima mbele ya ofisi ya wakala katika kitongoji
cha Kamachumu
cha Kamachumu
Ofisi ya wakala katika kitongoji cha Kyaka
Thursday, March 21, 2013
MATUKIO - Moja ya mikakati ya Shirika ni kuongeza uwezo katika rasilimali watu - Wafanyakazi wa shirika wapatiwa mafunzo mjini Morogoro
Wahasibu waandamizi katika picha ya pamoja
Picha ya pamoja Wahasibu pamoja na Wakaguzi wa mahesabu wa ndani
Picha ya pamoja maofisa wa Bima. (Insurance Officers)
Maofisa wa Bima wakifuatilia kwa karibu mafuzo
Mkufunzi akiwa anatoa mafunzo kwa maofisa wa Bima
Picha ya Pamoja ya maofisa wa juu wa Bima
(Principal Insurance Officers)
Friday, March 1, 2013
COMESA - Job Advert
CALL FOR APPLICATIONS
The
Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) is a regional grouping
of 19
African States which
have agreed to
promote regional integration
through trade development and
transport facilitation. More information can be obtained from the COMESA
website www.comesa.int.
COMESA
invites applications from suitably qualified and experienced professionals for
the following post:
Job Title : Senior Insurance Expert
Key
Tasks
The Senior
Insurance Expert shall
be under the
direct supervision of
the Chief
Programme
Officer of the Yellow Card and Regional Customs Transit Guarantee (RCTG
–CARNET) Scheme
and overall authority
of the Secretary
General of COMESA.
Grade : P4
Division
:
Yellow Card and Regional Customs Transit Guarantee
(RCTG–CARNET)
Scheme
Duty
Station : Lusaka
Commencement
Date :
June/July, 2013
Report To : The Chief Programme Officer
Duties and
Responsibilities:
1.
Assist
in the implementation and coordination of the Yellow Card Scheme in the
COMESA
member States;
2.
Liaise with
and assist National Bureaux
in their operations
of the Yellow
Card
scheme, as well as, in the implementation of
the decisions and recommendations of the Council of Bureaux and Technical Management
Committee; 2
3. Assist in initiating, coordinating and
managing the Yellow Card Scheme;
4. Identifying the problems in the operations of
the Yellow Card Scheme and proving
solutions;
5. Initiate
measures and changes
to improve the
technical, legal, financial
and
administrative instruments of the Yellow Card
scheme;
6.
Assist in administration and functioning of the Yellow Card Office (Secretariat
the Council
of
Bureaux);
7.
Providing advisory services and
technical assistance to members in the
implementation and administration of the
Yellow Card scheme;
8.
Prepare
reports and papers on activities and operations of scheme;
9.
Conduct studies to enhance the
efficiency of operations the Yellow Card scheme;
10.
Assist
the National Bureaux
, the Pool
Managers and other
stakeholder by
Providing up-to –date and reliable Yellow Card
information;
11.
Service the meetings of the Council of
Bureaux of the Third Party Motor Vehicle
Insurance (Yellow Card) Scheme and
Technical Management Committee of the
Reinsurance Pool of the Yellow Card
scheme; and
12.
Any
other related duties
that may be assigned
to you by the
Chief Programme
Officer or the Assistant Secretary General
(Programmes) from time to time
Minimum
Qualifications
(a) Minimum of
Postgraduate Degree in Economics , Business Administration, Law or
Any other relevant field, and
(b) Diploma from
the Chartered Insurance
Institute of London
(ACII-previously
called Associate ship CII)
or other recognized
Institute or College. FCII is an
added advantage
Professional
Experience
A minimum
of ten (10) years
professional experience, five
of which are
at senior
Management
position. Knowledge of the COMESA region is desirable.
Working Language
Must
be fluent in English and/or French and/or Arabic (oral and written). A combination
of
any two or all of these languages will be an added advantage.
Eligibility for Applications
Applicants must be citizens of a COMESA Yellow
Card Scheme member country.
Applications
with Copies of relevant certificates and awards, MUST be submitted by using the prescribed
COMESA APPLICATION FORM
which can be accessed at the
following COMESA website:http://www.comesa.int/, Opportunities, COMESA Job Application Format.
Only
shortlisted candidates will be contacted for interview.
All applications should be addressed to;
MANAGING
DIRECTOR
NATIONAL
INSURANCE CORPORATION OF TANZANIA LTD
(COMESSA
YELLOW CARD – NATIONAL BUREAU OF TANZANIA)
P.O. BOX 9264,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA
Deadline: 08th February 2013.
|
|
Tuesday, February 12, 2013
Outgoing Chief Accountant Mr.Gregory Ngonyani bids farewell (Message)
Dear fellows employees,
As you are aware that I have just joined Tan Re, I wish to
say Kwa Herini.
From my bottom of my HEART, I thank you all for the support
and Cooperation you have been extending to me for 22 years I have worked with
NIC.To be frankly NIC has been my home and I am going to miss you guys.
I wish NIC and you all a success. Kindly pray for me so that
I become your good Ambassador.
Thank you and GOD BLESS YOU ALL
Gregory Ngonyani
Friday, February 8, 2013
Wataalam wa Chuo Kikuu cha Usanifu Majengo (ARDHI UNIVERSITY) Wakutana na uongozi wa shirika
Mhandisi wa shirika la Bima Bw. Towo akitoa maelezo juu ya mradi wa usanifu majengo ya shirika.
Mkuu wa idara ya Usanifu majengo kutoka ARU - Dr. Bulamile akifuatilia jambo kwa karibu sana kutoka kwa mmoja wa wasaidizi wake.
Dr. Bulamile akielezea jambo juu ya moja ya majengo ambayo yako katika mchakato
wa ukarabati wa majengo ya ofisi za shirika.
Maandalizi ya TEHAMA (Teknologia Habari na Mawasiliano) Shiriika la Bima
Timu ya wataalamu wa Bima za Mali na Ajali na Wahasibu wakifuatilia jambo kwa karibu sana kutoka kwa mtaalam aliyekuwa nje ya nchi kwa kupitia kingámuzi
Wataalamu wa timu ya ufundi ya Bima za Mali na Ajali Bw. Juma Kiungulia, Bw. Fabian Mbegete na Bw. Daniel Mareale wakijadili jambo juu ya mfumo mpya wa Teknohama
Wataalamu wa timu ya ufundi ya Bima za Mali na Ajali wakifuatilia jambo kwa makini sana
Wataalamu wakijadiliana
Wednesday, February 6, 2013
Uteuzi....
Uongozi wa shirika la bima la taifa NIC umemteua Bi. Tabu Kingu kukaimu nafasi ya Mhasibu Mkuu wa shirika nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Gregory Ngonyani ambaye anakwenda kujiunga na Tanzania Reinsurance Corporation (TAN-RE). Uteuzi huu umeanza kutoka tarehe 5/02/2013.
Uongozi umetoa shukrani nyingi kwa Bw. Ngonyani kwa kulitumikia shrika kwa kipindi chote alichokuwa katika ajira kama Mhasibu Mkuu.
Bi Tabu Kingu akiwa anasisitizia jambo katika moja ya mikutano
ya menejimenti ya shirika la Bima la Taifa (NIC)
Bi. Tabu Kingu akiwa na Mameneja wa matawi ya shirika la Bima
Kutoka kushoto ni Bw. Ignatius Iruganyuma (Musoma),
Bi. Halima Makange (Shinyanga), Bi. Neema Mhauka (Morogoro)
na Bi.Catherine Magodi (Life House-Dar Es Salaam).
Tuesday, February 5, 2013
Mawili .... Matatu
Mameneja wa matawi ya Arusha (wa pili kushoto) na Moshi (wa pili kulia)
wakibadilishana mawazo na timu ya wataalamu wa Teknohama wa Shirika
Baadhi ya wataalamu wa Teknohama wa Shirika waliongozwa na Bw. Michael Mwenda (katikati), Mohamed Rashid (wa kwanza kushoto) na Bi Melania Dirisha (wa pili kulia) wakiteta jambo na Mameneja wa mikoa ya Arusha na Moshi Bw. Godwin Ole Kambainei na John Mdenye..
Meneja wa Tawi la Mtwara Bw. Waziri Mkwanda (kulia) akionyesha
jinsi ya kutumia Teknohama katika kurahisisha moja
ya kazi zifanyikazo katika tawi lake.
Pembeni yake ni mtaalamu wa Teknohama Bi. Melania Dirisha.
Monday, February 4, 2013
Wataalamu wa Shirika la Bima la Taifa wakiwa na wataalamu kutoka India
Mkurugenzi wa Bima Non Life Bw. Kura Bonface akiwa pamoja na
Ofisa wa bima za magari Bi. Immaculata Mweteni pamoja na timu ya wataalamu kutoka India
Timu ya wataalamu wa Shirika la bima na wataalamu kutoka India
Wataalamu wa Shirika la bima la Taifa na wataalam kutoka India
Maofisa wa Bima za maisha wakiwa na mtaalamu kutoka India
Thursday, January 31, 2013
Mteja alipwa madai ya bima yake
Meneja wa Tawi la Bukoba Bw. Ismail Bitegeko akimkabidhi hundi mteja wa shirika la bima la taifa NIC
Wednesday, January 30, 2013
Ushiriki wa shirika la Bima katika maonyesho ya Nane Nane kitaifa Dodoma 2012
Mission and Vision of NIC
Mmoja wa wateja akitembelea banda la maonyesho la shirika la bima, Nane Nane 2012 - Dodoma
Meneja wa Tawi la Dodoma Bw. Lugano Stanton akitoa elimu ya bima
kwa wateja waliotembelea banda la shirika la bima (NIC)
Mteja akisaini kitabu cha wageni
Mkurugenzi wa masoko Bw. Henry Machoke akizungumza na wanafunzi
Wanafunzi wakimuuliza maswali Mkurugenzi wa masoko Bw. Henry Machoke
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Justine Mwandu akibabadilishana mawazo na
Mkurugenzi wa Masoko Bw. Henry Machoke
Afisa wa Bima kutoka tawi la Dodoma Bw. Milton Mlaki akizungumzia jambo na wateja
Shirika la Bima (NIC) ladhamini wa mashindano ya magari ya PUMA ENERGY RALLY ya mwaka 2012
Washindi wa mashindano ya PUMA ENERGY RALLY 2012
Meneja Masoko Bw. Elisante Maleko akiwa na mgeni rasmi
Mstahiki Meya wa Manispa ya Ilala Mhe. Jerry Slaa.
Moja ya magari ya mashindano likiondoka kituoni
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika la bima (NIC) Bw. Justine Mwandu
akitoa ishara ya kuliruhusu moja ya magari ya mashindano kuondoka kituoni.
Meneja Masoko Bw.Elisante Maleko akipokea cheti cha kushukuru udhamini wa mashindano ya magari kwa niaba ya shirika la bima (NIC) kutoka kwa mwakilishi wa PUMA ENERGY RALLY 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)