Tuesday, February 5, 2013

Mawili .... Matatu

Mameneja wa matawi ya Arusha (wa pili kushoto) na Moshi (wa pili kulia)
wakibadilishana mawazo na timu ya wataalamu wa Teknohama wa Shirika


Baadhi ya wataalamu wa Teknohama wa Shirika waliongozwa na Bw. Michael Mwenda (katikati), Mohamed Rashid (wa kwanza kushoto) na Bi Melania Dirisha (wa pili kulia) wakiteta jambo na Mameneja wa mikoa ya Arusha na Moshi Bw. Godwin Ole Kambainei na John Mdenye..

Meneja wa Tawi la Mtwara Bw. Waziri Mkwanda  (kulia) akionyesha
jinsi ya kutumia Teknohama katika kurahisisha moja
ya kazi zifanyikazo katika tawi lake.
Pembeni yake ni mtaalamu wa Teknohama Bi. Melania Dirisha.

No comments: