Thursday, March 21, 2013

MATUKIO - Moja ya mikakati ya Shirika ni kuongeza uwezo katika rasilimali watu - Wafanyakazi wa shirika wapatiwa mafunzo mjini Morogoro


Wahasibu waandamizi katika picha ya pamoja



Picha ya pamoja Wahasibu pamoja na Wakaguzi wa mahesabu wa ndani




Picha ya pamoja  maofisa wa Bima. (Insurance Officers)






Maofisa wa Bima wakifuatilia kwa karibu mafuzo




             Mkufunzi akiwa anatoa mafunzo kwa maofisa wa Bima




Picha  ya Pamoja ya maofisa wa juu wa Bima 
(Principal Insurance Officers)




No comments: