MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa linapenda kuungana na wananchi
wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya
Muungano.
Picha ikionyesha hayati baba wa Taifa akichanganya
udongo kama ishara ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Pichani ikionyesha Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Raisi
wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Aman Karume.
Pichani ni Management ya Shirika la Bima la Taifa katika
Picha ya pamoja wakiwa na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NIC Dr. Edmund
Mndolwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga pamoja na wakurugenzi,
wakuu wa idara na mameneja wa matawi.
No comments:
Post a Comment