Saturday, April 25, 2015

MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANZANIA.


MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.


             
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa linapenda kuungana na wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya Muungano.
               


           
Picha ikionyesha hayati baba wa Taifa akichanganya udongo kama ishara ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar.



Pichani ikionyesha Raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Raisi wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Aman Karume.



Pichani ni Management ya Shirika la Bima la Taifa katika Picha ya pamoja wakiwa na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NIC Dr. Edmund Mndolwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Sam Kamanga pamoja na wakurugenzi, wakuu wa idara na mameneja wa matawi.


Wednesday, April 22, 2015

BIMA YA KINGA YA MAGARI YA BIASHARA



BIMA YA KINGA YA MAGARI YA BIASHARA.

Ununuzi wa gari la biashara kwa hakikia ni mojawapo ya uwekezaji mkubwa kifedha unaofanywa na taasisi ya biashara iwe ya biashara ya mtu mmoja au shirika kubwa.
Sisi NIC tunatambua huli na kwa uangalifu tumekuandalia Bima ya kinga ya Magari ya biashara ili kulinda uwekezaji huu.

FAIDA ZA BIMA HII

Bima  kubwa (Comprehensive) 

Chini ya bima jumuishi tunatoa kinga iwapo gari lako na vifaa vyake pamoja na vipuri vitaibwa au kuharibika. Gari lako linapokuwa katika biashara ya magari, kinga ya kawaida itaendelea. Gharama za kukokota gari likipata ajali hadai sehemu ya kuaminika ya matengenezo zitarejeshwa kwa kiwango kischozidi shilingi TShs 50,000/=. Mwenye gari unaweza kuidhinisha matengenezo ya hilo gari la biashara ili mradi unatujulisha mapema na gharama zisizidi TShs 1,500,000/=.



Bima ya muathirika mwingine (Third Party).

Kinachojumuishwa moja kwa moja katika Bima yako ya Kinga ya Magari ya Biashara ni ahadi yetu ya kulipa madai halali yanayoelekezwa kwako na watu wengine ambao wewe au dereva wako mlio kwenye bima hii mmewasababisha madhara ya uharibifu au maumivu. Kinga ya kifedha kwa kusababisha maumivu kwa watu wengine haina ukomo na hata uharibifu kwa mali za watu wengine kiwango chake kinafikia hadi TShs 10,000,000/=. 

Kukokota

Bima hii inakukinga pia unapokokota trela au gari lingine ambalo halijiendeshi lenyewe.


Punguzo kama hakuna madai.

NIC itakuzawadia kwa uendeshaji wa makini unaoepusha ajali kwa punguzo la kiwango cha juu kuliko ilivyowahi kutokea. Kwa mfano asilimia 10 (10%) baada ya mwaka mmoja tu usiokuwa na madai, hadi kufikia asilimia 30 (30%) baada ya miaka mitano.

Mawasiliano:
Kwa maelezo zaidi juu ya bima unayoweza kupata kwa viwango nafuu uliza katika tawi letu lolote au kwa mawakala wetu wenye uzoefu.


Tuesday, April 21, 2015

NIC MANAGEMENT TEAM




Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Dr. Edmund Mndolwa (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Acting Managing Director Mr. Sam Kamanga.

Director of life and Pensions Mrs. Rose Lutu Lawa (kulia), Director of Finance and Administration Mrs. Anne C. Mbughuni, and Director of Marketing and Customer Services Mr. Henry Machoke.





Manager Life and Pension Mr. Henry Mwalwisi.


Human Resource Manager - Godbless Uronu 
Acting Head of Procurement  Management Unit - Flora Kasambala

Acting Chief Manager ICT- Michael Mwenda (kulia) akiwa na 
Head of Public Relations - Mwanaidi Shemweta

Director of Internal Audit -Mr. Gosbert Kafanabo (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi Dr. Edmund Mndolwa.

Acting Chief Accountant- Mrs. Tabu S. Kingu.

Director of Finance and Administration- Anne C. Mbughuni.


Friday, April 17, 2015

BUSINESS PROTECTOR

Ni bima iliyotengenezwa mahususi kwa ajili ya wafanyabiashara ili kuweka kinga dhidi ya hasara itokanayo na kuibiwa, moto na kuibiwa fedha kutokana na ubadhilifu wa wafanyakazi wa kampuni yako. Fika katika matawi yetu popote nchini ili upate huduma hiyo kuweka kinga dhidi ya majanga hayo katika biashara yako.




Thursday, April 16, 2015

38th COMESA TECHNICAL MANAGEMENT COMMITTEE






NIC Acting Managing Director Mr. Sam Kamanga (Center) congratulated after signing a document for Tanzania to join the Regional Insurance scheme in Bulawayo Zimbabwe at the 38th COMESA TECHNICAL MANAGEMENT COMMITTEE , Witnessing the event is COMESA Secretary General Mr. Sindiso Ngwenya (left) and  Mr. Albert Mugabe.

Wednesday, April 15, 2015

FLEXI LIFE PROVIDER


Hii ni Bima ya Matumaini ya Miaka 9, bima hii inapofikia miaka (mitatu) 3 ya awali mafao ya asilimia 20 (20%) hulipwa kwa mteja na asilimia ishirini (20%0 hulipwa kwa mteja wa bima hii inapofikia miaka sita (6), mafao ya asilimia sitini (60%) na faida yake hulipwa bima inapofikia ukomo wa mkataba (miaka 9).


Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na matawi yote nchini kama picha chini zinavyoelekeza.


Wednesday, April 8, 2015

SUPER EDUCATION PROVIDER





NIC BRANCH NETWORK PARTICULARS

Kwa Maswali, maoni, ushauri, malalamiko kuhusu huduma zetu, tafadhali tembelea Ofisi/Tawi lililopo karibu na wewe ili tukuhudumie kwa haraka na ufanisi kubwa kutoka kwa wafanyakazi wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania nchi nzima.

Picha ya chini ni mawasiliano ya matawi kutoka NIC Tanzania ili kusogeza huduma zaidi na haraka popote ulipo tumia mawasiliano haya; 




Thursday, April 2, 2015

MAPUMZIKO MEMA YA SIKUKUU YA PASAKA .

Shirika la Bima la Taifa Tanzania na Wafanyakazi wote tunapenda kuwatakia mapumziko mema ya Sikukuu ya Pasaka. 





Wednesday, April 1, 2015

BIMA YA MAISHA ILIYOBORESHWA


Karibu NIC upate huduma ya Bima ya maisha kwa umakini na ufasaha kabisa kutoka kwa wataalamu wetu, kwa mawasiliano jinsi ya kuwasiliana na sisi kuna number zetu za simu na anuani pia kwa matawi yote nchini Tanzania. Karibu tukuhudumie.