Tuesday, February 12, 2013

Outgoing Chief Accountant Mr.Gregory Ngonyani bids farewell (Message)

Dear fellows employees,

As you are aware that I have just joined Tan Re, I wish to say Kwa Herini.

From my bottom of my HEART, I thank you all for the support and Cooperation you have been extending to me for 22 years I have worked with NIC.To be frankly NIC has been my home and I am going to miss you guys.

I wish NIC and you all a success. Kindly pray for me so that I become your good Ambassador.

Thank you and GOD BLESS YOU ALL
 
Gregory Ngonyani

Friday, February 8, 2013

Wataalam wa Chuo Kikuu cha Usanifu Majengo (ARDHI UNIVERSITY) Wakutana na uongozi wa shirika

Mhandisi wa shirika la Bima Bw. Towo akitoa maelezo juu ya mradi wa usanifu majengo ya shirika.



 
Mkuu wa idara ya Usanifu majengo kutoka ARU - Dr. Bulamile akifuatilia jambo kwa karibu sana kutoka kwa mmoja wa wasaidizi wake.

Dr. Bulamile akielezea jambo juu ya moja ya majengo ambayo yako katika mchakato
wa ukarabati wa majengo ya ofisi za shirika. 


 

Maandalizi ya TEHAMA (Teknologia Habari na Mawasiliano) Shiriika la Bima

Timu ya wataalamu wa Bima za Mali na Ajali na Wahasibu wakifuatilia jambo kwa karibu sana kutoka kwa mtaalam aliyekuwa nje ya nchi kwa kupitia kingámuzi



Wataalamu wa timu ya ufundi ya Bima za Mali na Ajali  Bw. Juma Kiungulia, Bw. Fabian Mbegete na Bw. Daniel Mareale wakijadili jambo juu ya mfumo mpya wa Teknohama
 
 

Wataalamu wa timu ya ufundi ya Bima za Mali na Ajali  wakifuatilia jambo kwa makini sana
 

Wataalamu wakijadiliana

Wednesday, February 6, 2013

Uteuzi....

Uongozi wa shirika la bima la taifa NIC umemteua Bi. Tabu Kingu kukaimu nafasi ya Mhasibu Mkuu wa shirika nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Gregory Ngonyani ambaye anakwenda kujiunga na Tanzania Reinsurance Corporation (TAN-RE). Uteuzi huu umeanza kutoka tarehe 5/02/2013.

Uongozi  umetoa shukrani nyingi kwa Bw. Ngonyani kwa kulitumikia shrika kwa kipindi chote alichokuwa katika ajira kama Mhasibu Mkuu.


Bi Tabu Kingu akiwa anasisitizia jambo katika moja ya mikutano
ya menejimenti ya shirika la Bima la Taifa (NIC)


Bi. Tabu Kingu akiwa na Mameneja wa matawi ya shirika la Bima
Kutoka kushoto ni Bw. Ignatius Iruganyuma (Musoma),
Bi. Halima Makange (Shinyanga), Bi. Neema Mhauka (Morogoro)
 na Bi.Catherine Magodi (Life House-Dar Es Salaam).

Tuesday, February 5, 2013

Mawili .... Matatu

Mameneja wa matawi ya Arusha (wa pili kushoto) na Moshi (wa pili kulia)
wakibadilishana mawazo na timu ya wataalamu wa Teknohama wa Shirika


Baadhi ya wataalamu wa Teknohama wa Shirika waliongozwa na Bw. Michael Mwenda (katikati), Mohamed Rashid (wa kwanza kushoto) na Bi Melania Dirisha (wa pili kulia) wakiteta jambo na Mameneja wa mikoa ya Arusha na Moshi Bw. Godwin Ole Kambainei na John Mdenye..

Meneja wa Tawi la Mtwara Bw. Waziri Mkwanda  (kulia) akionyesha
jinsi ya kutumia Teknohama katika kurahisisha moja
ya kazi zifanyikazo katika tawi lake.
Pembeni yake ni mtaalamu wa Teknohama Bi. Melania Dirisha.

Monday, February 4, 2013

Wataalamu wa Shirika la Bima la Taifa wakiwa na wataalamu kutoka India

Mkurugenzi wa Bima Non Life Bw. Kura Bonface akiwa pamoja na
Ofisa wa bima za magari Bi. Immaculata Mweteni pamoja na timu ya wataalamu kutoka India

Timu ya wataalamu wa Shirika la bima na wataalamu kutoka India

Wataalamu wa Shirika la bima la Taifa na wataalam kutoka India

                                    Maofisa wa Bima za maisha wakiwa na mtaalamu kutoka India

Maofisa wa Bima kutoka matawi yote Tanzania wapata mafunzo Morogoro