Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza, Mohamed Likwata
akizungumza na wasafiri waliokuwa wakielekea Bukoba, kwenye Kituo cha Mabasi
Nyegezi jana, wakati wa kampeni ya “Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia
namba 0800757575 bure, kampeni inayoendeshwa kwa pamoja kati ya Vodacom
Tanzania, Jeshi hilo na vituo vya ITV/Redio One. Kampeni hiyo ilibuniwa
kuwadhibiti madereva wakorofi wasiozingatia sheria za usalama barabarani wakiwa
safarini.
No comments:
Post a Comment