Mkurugenzi Mtendaji na timu yake amaliza kupata maelekezo ya mwisho juu ya mfumo mpya TEHAMA unavyofanya kazi.
(Kutoka kushoto kwenda kulia)
Mkurugenzi Mtendaji Bw. Justine Mwandu, Bw. Gosbert Kafanabo Mkuu wa Idara ya Ukaguzi wa mahesabu ya ndani , Bw. Deepak Mtaalam wa Mtambo mpya wa TEHAMA kutoka India ,
Bi. Anne Mbughuni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Hamza Ngereza (Mwanafunzi katika majaribio) Msaidizi idara ya TEHAMA na Bw. Mohamed Rashid Mtaalamu wa ndani wa mfumo mpya wa
TEHAMA GENISYS CONFIGURATOR
No comments:
Post a Comment