Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika akifungua Mkutano wa Menejimenti
Mkurugenzi wa Bima za Maisha akifungua kikao kwa "SALA" maalum.
Wajumbe wakipitia taarifa kabla hazijawasilishwa kwenye kikao.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala akitoa mchango wake.
Chief Meneja wa ICT akiwasilisha hoja Mkutanoni
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Bi. Anne Mbughuni akiwasilisha hoja Mkutanoni
Mkurugenzi wa Bima zisizo za Misha Bw. Kura Boniface akisisitiza jambo.
Meneja wa Mkoa wa Dodoma Bw. Lugano Stanton
akichangia katika moja ya hoja zilizo wasilishwa kwenye mkutano.
Kaimu Meneja wa Uwekezaji na Mipango Bi. Sabra Abdul-Rahman
akiwasilisha bajeti ya shirika ya 2015-16
Kaimu Meneja wa Uwekezaji na Mipango Bi. Sabra Abdul-Rahman
akiwasilisha jambo.
Meneja wa Bima za Maisha Bw. Henry Mwalwisi akitoa Mchango wake
Meneja wa Mkoa wa Bukoba Bw. Mazagwa naye
akichangia jambo kwenye hoja iliyowasilishwa mkutanoni.
Meneja wa Bima za Maisha Bw. Isihaka Kibamba akitoa Mchango wake
Mkurugenzi wa Masoko Bw. Henry Machoke akichangia katika
moja ya hoja zilizo wasilishwa Mkutanoni
Mkurugenzi wa Audit Bw. Gosbert Kafanabo akiwasilisha hoja Mkutanoni
Meneja wa Mkoa wa Tawi la Ubungo Bw. Segeja Mabula naye
akitoa mchango wake kwenye hoja iliyowasilishwa mkutanoni.
Wakurugenzi wa Masoko na Audit kwa pamoja
wakichangia jambo kwenye hoja iliyowasilishwa mkutanoni.
Mkurugenzi Mtendaji Bw. Justine Mwandu akifafanua jambo Mkutanoni
No comments:
Post a Comment