Monday, May 12, 2014

HABARI KATIKA PICHA - DHIFA YA MWENYEKITI WA BODI KUWASHUKURU BROKERS KWA USHIRIKIANO WAO NA NIC


















   Mkurugenzi mtendaji Bw. Justine Mwandu  akiwakaribisha 
wageni waalikwa kupata chakula (Dinner)












































 Mwenyekiti wa Bodi Dr. Mndolwa akiongea na mwandishi wa habari kutoka TBC

  Mkurugenzi mtendaji Bw. Justine Mwandu  katika mahojiano 
na mwandishi wa habari kutoka TBC

Picha ya pamoja ya waliohudhuria shughuli hiyo iliyofanyika
 katika hoteli ya Serena mjini Dar Es Salaam

MATUKIO - UONGOZI WA JUU WA NIC WAKUTANA NA BROKERS WA DAR ES SALAAM






HABARI KATIKA PICHA Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Dr. Edmund Mndolwa akutana na Brokers kuwashukuru kwa ushirikiano mzuri wa kibiashara na NIC



Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Dr. Edmund Mndolwa akihutubia wageni waalikwa 


Wageni waalikwa wakisaini katika kitabu cha wageni pembeni kushoto ni afisa utumishi Bi. Florence Mosha


 Mkurugenzi Mtendaji akibadlishana mawazo na Mwenyekiti wa Bodi na Mjumbe wa Bodi





 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Dr. Edmund Mndolwa akimkaribisha mgeni mwalikwa