Ndugu Wafanyakazi.
Habari za kazi na poleni na majukumu ya kila siku.
Tafadhali soma taarifa ya hapo juu hii
ni taarifa rasmi kutoka idara ya Habari Ikulu.
Aidha Tuungane wote kumpongeza Ndugu Sam Kamanga kwa kuteuliwa kwake kushika wadhifa
huu mzito wa kuliongoza Shirika letu na kumtakia kila la kheri katika
kufanikisha majukumu yake ya kila siku.
Tuwe pamoja kama 'TEAM'
Asanteni.
G Uronu
Ag DFA
No comments:
Post a Comment