Monday, May 12, 2014

HABARI KATIKA PICHA Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Dr. Edmund Mndolwa akutana na Brokers kuwashukuru kwa ushirikiano mzuri wa kibiashara na NIC



Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Dr. Edmund Mndolwa akihutubia wageni waalikwa 


Wageni waalikwa wakisaini katika kitabu cha wageni pembeni kushoto ni afisa utumishi Bi. Florence Mosha


 Mkurugenzi Mtendaji akibadlishana mawazo na Mwenyekiti wa Bodi na Mjumbe wa Bodi





 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NIC Dr. Edmund Mndolwa akimkaribisha mgeni mwalikwa


No comments: