Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa Ndugu Sam Kamanga achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Association of Tanzania Insurers (ATI). Uchaguzi huo uliofanyika hivi karibuni uliwachagua wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi watakaoongoza ATI kwa kipindi cha kipindi cha miaka miwili ijayo.
No comments:
Post a Comment