Wednesday, January 30, 2013

Ushiriki wa shirika la Bima katika maonyesho ya Nane Nane kitaifa Dodoma 2012

Mission and Vision of NIC

Mmoja wa wateja akitembelea banda la maonyesho la shirika la bima, Nane Nane 2012 - Dodoma


Meneja wa Tawi la Dodoma Bw. Lugano Stanton akitoa elimu ya bima
kwa wateja waliotembelea banda la shirika la bima (NIC)

Mteja akisaini kitabu cha wageni

Mkurugenzi wa masoko Bw. Henry Machoke akizungumza na wanafunzi

Wanafunzi wakimuuliza maswali Mkurugenzi wa masoko Bw. Henry Machoke  



                         Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bw. Justine Mwandu akibabadilishana mawazo na
                                                Mkurugenzi  wa Masoko Bw. Henry Machoke

             Afisa wa Bima kutoka tawi la Dodoma Bw. Milton Mlaki akizungumzia jambo na  wateja
                                    

Shirika la Bima (NIC) ladhamini wa mashindano ya magari ya PUMA ENERGY RALLY ya mwaka 2012

Washindi wa mashindano ya PUMA ENERGY RALLY 2012

Meneja Masoko Bw. Elisante Maleko akiwa na mgeni rasmi
Mstahiki Meya wa Manispa ya Ilala Mhe. Jerry Slaa.

Moja ya magari ya mashindano likiondoka kituoni

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika la bima (NIC) Bw. Justine Mwandu
akitoa ishara ya kuliruhusu moja ya magari ya mashindano kuondoka kituoni.
Meneja Masoko Bw.Elisante Maleko akipokea cheti cha kushukuru udhamini wa mashindano ya magari kwa niaba ya shirika la bima (NIC) kutoka kwa mwakilishi wa PUMA ENERGY RALLY  2012

Matukio ya mwaka 2013 - Sherehe ya Association of Tanzania Employers





Matukio mbali mbali ya mwaka 2012 - Mkutano wa menejimenti

Wajumbe wakifuatilia kwa makini mkutano



Matukio mbali mbali ya mwaka 2012

Mwenyekiti wa Bodi ya shirika la Bima la Taifa NIC - Balozi Charles Mutalemwa akihutubia menejimenti ya NIC kwenye moja ya mikutano ya menejimenti iliyofanika mwaka 2012.