Friday, November 4, 2016

UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI MKUU WA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA - NIC

Ndugu Wafanyakazi.
Habari za kazi na poleni na majukumu ya kila siku.
Tafadhali soma taarifa ya hapo juu hii ni taarifa rasmi kutoka idara ya Habari Ikulu.

Aidha Tuungane wote kumpongeza Ndugu Sam  Kamanga kwa kuteuliwa kwake kushika wadhifa huu mzito wa kuliongoza Shirika letu na kumtakia kila la kheri katika kufanikisha majukumu yake ya kila siku.

Tuwe pamoja kama 'TEAM'
Asanteni.

G Uronu

Ag DFA