Mwenyekiti wa kikao cha Menejimenti ya Ufundi ya COMESA- RCTG Ndugu Sam Kamanga akiongoza kikao ambacho kilifanyika Mwalimu kwenye ukumbi wa Nyerere Dar Es Salaam.
Wajumbe wakifuatilia kikao kilivyokuwa kinaendelea
na kwa upande wa kushoto ni mwakilishi
kutoka MO-Insurance Bw. Kura Boniface.
Wajumbe wakifuatilia kikao kilivyokuwa kinaendelea.
Kiongozi wa sekretariati ya COMESA Bw. Berhane Giday akichangia jambo kwa wajumbe . Kulia ni Mwenyekiti wa Kikao hicho Bw. Sam Kamanga ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa NIC.
Picha ya pamoja ya baadhi ya wajumbe waliohudhuria
kikao hicho kutoka nchi wanachama wa COMESA.
No comments:
Post a Comment