HABARI KATIKA PICHA
IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU ABRAHAM CHAWE YALIYOFANYIKA KIJIJI CHA IFWENGA -DABAGA MKOA WA IRINGA
Jeneza la Marehemu Abraham Chawe likiandaliwa kabla ya ibada ya mazishi.
Mwenyekiti wa Tuico NIC alikuwa mstari wa mbele kwenye shughuli za mazishi.
Mke na Mtoto wa Marehemu wakiomboleza kabla ya Ibada kuanza
Uongozi wa Shirika la Bima uliwakilishwa mazikoni kijijini Ifwenga - Iringa
Jeneza la Marehemu
Wachungaji wakiongoza Ibada
Baadhi ya Ndugu wa Marehemu
Nyumba ya milele ya mpendwa wetu Abraham Chawe.
R.I.P. Abraham Chawe
No comments:
Post a Comment