Tuesday, March 8, 2016

ABRAHAM CHAWE 1956-2015

 HABARI KATIKA PICHA 

IBADA YA  MAZISHI   YA MAREHEMU ABRAHAM CHAWE YALIYOFANYIKA KIJIJI CHA IFWENGA -DABAGA MKOA WA IRINGA

Jeneza la Marehemu Abraham Chawe likiandaliwa kabla ya ibada ya mazishi.


Mwenyekiti wa Tuico NIC alikuwa mstari wa mbele kwenye shughuli za mazishi.


Mke na Mtoto wa Marehemu wakiomboleza kabla ya Ibada kuanza


Uongozi wa Shirika la Bima uliwakilishwa mazikoni kijijini Ifwenga - Iringa


Jeneza la Marehemu

Wachungaji wakiongoza Ibada



Baadhi ya Ndugu wa Marehemu


Nyumba ya milele ya mpendwa wetu Abraham Chawe.
R.I.P. Abraham Chawe