Bi. Faith Robert akiwa na mumewe mara baada ya kufunga pingu za maisha jijini Dar es Salaam.
Bi. Hajra Kadry akiwa na mumewe wakati wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Bw. Juma Kiungulia akiwa katika picha ya pamoja na mke wake na wafanyakazi wa NIC wakati wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika jijini Dar es Salaa.
Bw. Daniel Manupa na mkewe wakila kiapo cha ndoa yao.
Bw. Nasson Mwandumbya na mkewe wakiwa na nyuso za furaha wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment