Monday, September 14, 2015

MKURUGENZI MTENDAJI ATEMBELEA WATEJA WAKUBWA DODOMA NA MAOYESHO YA NANENANE

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw.Sam Kamanga akutana na uongozi 
wa juu wa chuo Kikuu cha UDOM



 UDOM


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw.Sam Kamanga akutana na uongozi 
wa juu wa chuo Kikuu cha IRDAP




 Chuo cha IRDAP


 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima Bw. Sam Kamanga 
atembelea Banda la NIC katika maonyesho ya NaneNane




Meneja wa Tawi la Dodoma akimpa maelezo Kaimu Mkurugenzi Mkuu 
wa Shirika la Bima Bw. Sam Kamanga

NIC YASHIRIKI KATIKA MAONYESHO NA MKUTANO WA DIASPORA PARTNERSHIP CONFERENCE 2015


Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Cheti ya ushiriki kwenye "Diaspora Partnership 2015 Conference"  
Kaimu Mkuugenzi Mkuu wa NIC Bw. Sam Kamanga



Afisa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Alex(wa Tatu kutoka kushoto waliosimama) aliiwakilisha kikamilifu NIC kwenye mkutano na maonyesho ya Diaspora.



Picha ya pamoja ya wadhamini wa mkutano na maonyesho ya "Diaspora Partnership 2015 Conference"  

MKURUGENZI MTENDAJI WA TPDC AKUTANA NA KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA NIC

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam Kamanga akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) Bw. James Mataragio wakutana kujadili 
masuala ya kujenga mahusiano ya kibiashara kati ya taasisi hizi mbili.