Kwa masikitiko makubwa tunawaharifu kifo cha mfanyakazi mwenzetu Ndugu Bonaventura Peter ambaye alikuwa dereva wa Mkurugenzi mtendaji kilichotokea majuzi.
Mauti yalimkuta marehemu Bonnie akiwa shambani kwake Kibaha. Mazishi yanafanyika leo tarehe 11/12/2014 Saa 10 na Nusu jioni katika makaburi ya Tabata - Segerea . Misa ya kumwombea marehemu itafanyika kwenye kanisa la KRISTU MFAME (liliopo Tabata Magengeni).
"Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi" Amen
Marehemu Bonaventura Peter "Bonnie"
(aliyevalia shati Jekundu wakati wa uhai wake)
No comments:
Post a Comment